MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » » RAIS DK. SHEIN AFANYA UFUNGUZI WA TAMASHA LA BIASHARA LA 3 ZANZIBAR.


Pamoja Blog 1/10/2017 05:28:00 PM 0

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar sherehe zilizofanyika leo huko katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe Amina Salum Ali
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akitia saini kitabu cha wageni mara baada ya kufungua  Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar leo katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, (kulia) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe Amina Salum Ali.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Najma Hussein (katikati) alipotembelea banda la maonesho ya Biashara la Bakhresa Group Companies  mara baada ya kufungua  Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar leo katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Injinia Hamis Lusanda (kulia) kutoka Vigor Tp Company Ltd wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara mbali mbali  mara baada ya kufungua  Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar   katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tantrade Dar es Salaam  Edwin N.Rutageruka wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara mbali mbali  mara baada ya kufungua  Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar   katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Ndg.Mohamed Suleiman wa Kiwanda cha Uchapaji cha Serikali  wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara mbali mbali  alipofungua  Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar  leo katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa kituo cha tiba,ushauri nasaha na Utafiti wa magonjwa Sugu na Ukimwi Dr.John A.Kidua (kulia) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara mbali mbali  alipofungua  Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe Amina Salum Ali.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akisalimiana na Wajasiriamali kutoka Mkoa wa Mwanza,ambao wanafanya bishara ya mikoba na dawa asilia   wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara mbali mbali  alipofungua  Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe, Amina Salum Ali (Picha na Ikulu)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments