PICHA: WEMA SEPETU ARUDI KWA MTINDO HUU INSTAGRAM

Malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu baada ya ukimya wa muda mrefu katika mtandao wa Instagram, ameweka post yake ya kwanza ndani ya mwaka 2017 huku akiwaahidi mashabiki wake mambo mazuri ndani ya mwaka huu.

Muigizaji huyo ambaye ana followers milioni 2.5 kupitia mtandao huyo, ni mmoja kati ya wasanii wa kike wenye nguvu kubwa katika mtandao huo.

Ijumaa hii amepost picha za kwanza ndani ya mwaka huu na kuandika:
Happy 2017… and am excited.. how Many Likes?? Share from. This one and am gonna Tell You something to Celebrate for the whole Year…. #WSSoCloseToYou #WSladieschoice #WSyourAddiction
#unataka kusikia jambo zuri kutoka kwangu kwa mwaka 2017? Gonga Likes za kutosha and nitarudi kukung’ata sikio… This be your First Image…. There is plenty of these Just for You…. I missed You


Muigizaji huyo mwaka uliopita alihaidi mwaka 2017 utakuwa ni mwaka wake wa kazi nyingi.
Post a Comment
Powered by Blogger.