MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » NAHITAJI MAOMBI YENU WADAU, NIMETOKA MUHIMBILI NIPO HOME ILA KIAFYA BADO – BEN SELENGO


Pamoja Blog 1/03/2017 12:29:00 PM 0

Msanii wa filamu Ben Selengo baada ya kupata ajali ambaya siku ya sikukuu ya Christmas na kulazwa katika Muhimbili, ameruhusiwa na sasa hivi yupo nyumbani.
Mchekeshaji huyo amedai licha ya kuwa ameruhusiwa kutoka hospital lakini bado afya yake haijakaa sawa na anahitaji maombi.
“Bado nahitaji maombi yenu wadau,” aliandika Ben Instagram “nimetoka Muhimbili nipo home ila kiafya bado,”

Hili ni gari ambalo alipata nayo ajali 

Ndugu na marafiki wakimtembelea kumtakia hali

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments