MOROCCO YAWATOA MABINGWA WA TETEZI WA AFCON


Timu ya Morocco imeifunga Ivory Coast goli 1-0 na kutinga robo fainali ya kombe la Mataifa ya Afrika na kuwatoa mabingwa hao watetezi wa michuano hiyo.Rachid Alioui alifunga goli kali la umbali wa yadi 25 na kuipatia ushindi Morocco wakiwa na kocha wao, Herve Renard, ambaye aliinoa Ivory Coast mwaka 2015.Ivory Coast ilihitaji kushinda ili kusonga mbele lakini ilionyesha kiwango kidogo na kutengeneza nafasi mbili tu za uhakika.
Kipa wa Ivory Coast Sylvain Gbohouo akiwa amelala chini baada ya kushindwa kudaka shuti la Rachid Alioui
Post a Comment
Powered by Blogger.