MAJALIWA AZUNGUMZA NA VIONGOZI NA WATUMISHI WA UMMA WA NJOMBE KATIKA KIKAO CHA MAJUMUISHO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka wakati alipozungumza kumkaribisha aongee na watumishi wa umma, viongozi wa dini na wananchi kwenye ukumbi wa Manispaa ya Njombe, katika kikao cha maumuisho ya ziara yake mkoani humo Januari 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa umma, viongozi wa dini na wananchi katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya mkoa wa Njombe kwenye ukumbi wa manispaa hiyo mjini Njombe, Januari 27, 2017. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Christopher Ole Sendeka.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya watumishi wa umma , viongozi wa dini na wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozungumza nao katika kikao cha majumuisho ya ziara yake mkoani Njombe kwenye ukumbi wa Hlmashauri ya Manispaa hiyo mjini Njombe , Januari 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment
Powered by Blogger.