MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » » » » MAJALIWA AWASILI MAKAMBAKO KUENDELEA NA ZIARA YA MKOA WA NJOMBE


Pamoja Blog 1/25/2017 12:20:00 PM 0

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Iringa mjini, Richard Kasesela baada ya kuwali kwenye uwanja wa Nduli  mjini  IringaKulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Amina Masenza. akiwa njiani  kuelekea Njombe kuendelea na ziara ya kazi Januari 25, 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiakaribiwahwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka baada ya kuwasili Makambako kuendelea na ziara ya mkoa huo, Januari 25, 2017.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Njombe, Deo Sanga baada ya kuwasili Makambako kuendelea na ziara ya mkoa huo, Januari 25, 2017.  Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments