KIJANA ANAYEDAIWA KUUA AKAMATWA MABIBO JIJINI DAR

 Wakazi na wafanyabiashara wa Mabibo jijini Dar es Salaam wakiwa wameizunguka ofisi ya soko la Mabibo-Mwisho alimohifadhiwa mtu anayetuhumiwa kuua na kujeruhi watu kadhaa katika soko hilo kabla polisi hawajafika.
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Shadrack Maninje maarufu kwa jina la Idd anadaiwa kuua na kujeruhi watu sita kwa kisu akiwemo mtoto.  Tukio hilo limetokea jana usiku, maeneo ya Mabibo jijini Dar.

Chanzo: GPL
Post a Comment
Powered by Blogger.