MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » » KAMANDA WA POLISI KILIMANJARO, SACP MUTAFUNGWA AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA POLISI URU


Pamoja Blog 1/11/2017 02:05:00 PM 0

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, SACP, Wilbroad Mutafungwa (kushoto mwenye fimbo) akizungumza jambo wakati akikagua maenedeleo ya ujenzi wa kituo cha Polisi cha Kimanganoni Uru wilaya ya Moshi. 

Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro akikagua ujenzi wa kituo cha polisi kinachojengwa kwa nguvu za wananchi eneo la Uru Kimanganoni kati. Kushoto ni askari mstaafu, mkazi eneo hilo Philipo mushi akimpokea Mutafungwa .

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments