MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » JUMA PONDAMALI MENSA AKIJIELEZA KUHUSU SOKA TANGU AKIWA NA UMRI WA MIAKA 13


Pamoja Blog 1/31/2017 11:56:00 AM 0


Mcheza soka mkongwe hapa nchini maarufu kama Juma Pondamali “Mensa” ambeye kwa sasa ni kocha wa makipa “Young Africa” amefunguka mbele ya Super News Tv Online na kumtaja kocha ambaye alimkuza kisoka toka akiwa mdogo yaani umri wa miaka 13-14.


Juma Pondamali alikuwa ni golikipa hodari aliyefanikiwa kuiwakilisha Tanzania miaka ya 1980 katika michuano yaAfrican Cup of Nation.

Tumia dakika zako kadhaa kuitaza hii video ili ujue mengi kuhusu Nyota huyo.

Endelea kutufuatilia hapa soon tutakuletea Taarifa yake mpya ya kuachia wimbo wake wa singeli

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments