Hii ndio sababu ya Mo Music kuwa ‘single’

Mo Music anadai bado yupo single na tayari kumingle.

Mkali huyo kutoka Rock City, kupitia kipindi cha Power Point cha Kings Fm,ameweka wazi sababu ya yeye kutokuwa kwenye mahusiano.
“Wengi wanakupenda kama Mo Music na sio mimi kama mimi. Wanawake wengi sasa hivi wanaangalia watu wenye kitu,lakini ingawa sio wote ila asilimia kubwa,” amesema Mo Music.
Mo Music aliyeanza kufanya vizuri kupitia ngoma yake ya Basi Nenda, kwa sasa ana wimbo uitwao Ado Ado alioutoa mwaka jana.


Na Prince Ramalove
Kings Fm
Post a Comment
Powered by Blogger.