TGNP YAWAKUTANISHA WADAU KUCHAMBUA SEKTA YA AFYA, ELIMU NA KILIMO KWA KULINGANISHA NA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mhadhiri Chuo Kikuu cha Muhimbi, Dk. Ave Maria Semakafu akichokoza mada ili wadau mbalimbali kujadili  juu ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG s) hasa kwenye lengo namba tano linalohusu usawa wa kujinsia.
Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Kampala(KIU)  akiwasilisha mada kuhusu upatikanaji wa maji na changamoto wanazozipata hasa maeneo ya vijijini.
Afisa Mipango kutoka Harmashauri ya Mbeya, Langson Nsusa akiwasilisha mada ya maji kwa wadau mbalimbali waliokutanishwa na TGNP Mtandao kujadili changamoto wanazozipata wanawake.
 Ramadhani Jaffari akiwasilisha mada ya kilimo kwa wadau waliofika kujadili  

Balozi Gertrude Mongella akichangia mada wakati wa majadiliano ya kujadili juu ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG s) hasa kwenye lengo namba tano linalohusu usawa wa kujinsia.

Mwanachama na mwanzilishi wa Shirika lisilo la kiserikali la TGNP Mtandao, Bi. Zipora Shekilango(kushoto) akichangia mada wakati wa kongamano liliowakutanisha wadau mbalimbali wa kupigania haki ya mwanamke iliyoandaliwa na TGNP Mtandao.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi akichangia mada kwa wadau wa kutetea haki za mwanamke ili kujadili juu ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG s) hasa kwenye lengo namba tano linalohusu usawa wa kujinsia.
 Baadhi ya wadau wa kutetea haki za mwanamke wakichangia mada kuhusu Kilimo, Elimu na Maji ilikuwawezesha wanawake kukuza uchumi juu ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG s) hasa kwenye lengo namba tano linalohusu usawa wa kujinsia.
Baadhi ya wadau mbalimbali kutoka serikalini na sekta binafsi wakifuatilia mada za kwenye mkutano uliowakutanisha kujadili malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG s) hasa lengo namba tano ulioandaliwa na TGNP Mtandao leo katika ukumbi wa Hotel ya Protea.
 Balozi Gertrude Mongella akizungumza na waandishi wa kuhusu kongamano lililowakutanisha wadau mbalimbali ili kujadili malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG s) hasa lengo namba tano ulioandaliwa na TGNP Mtandao 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mchango wa TGNP Mtandao ilivyoweza kuwakutanisha wadau mbalimbali kujadili malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG s) hasa lengo namba tano.
Profesa Eustella Bhalalusesa kutoka chuo Kikuu cha Dar Es Salaam akizungumza na waandishi wahabari kuhu kongamano la la wadau mbalimbali waliokutana kujadili malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG s) hasa lengo namba tano.
Post a Comment
Powered by Blogger.