SUMU YA PENZI SEHEMU YA THELASINI NA NNE (34)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Jermaine na mimi tuliishi kwa muda kidogo hotelini lakini siku moja akanifanyia sapraizi na kusafiri na mimi hadi Marekani, mitaa ya New Ark ambapo kumbe alikuwa na nyumba nzuri na hapo nikagundua kumbe yeye ni raia wa Marekani na kama angenioa na mimi basi ningekuwa Mmarekani pia. 
Nilishangaa kuona mwanaume huyo yupo siriazi sana kuhusu mimi hadi nilishangaa hivi ni kwa mapenzi yaleyale au!
Baadaye nilikuja kujua kuwa kumbe Dr Ben na Jermaine walikuwa ni marafiki wakubwa wakiwa Marekani na wote walisomea masuala ya mapenzi lakini Jermaine alikuwa amebakia kwenye kipengele cha mapenzi ya kawaida wakati mwenzake akajiingiza katika mapenzi ya jinsi moja na kukubuhu huko kiasi kwamba walifikia hadi kutofautiana.
Tena Jermaine akaniambia kuwa Dr Ben alitoa wazo la kuanzisha darasa la mapenzi Tanzania na wote walienda pamoja, lakini walitofautiana kwenye masuala kadhaa na akaniambia kuwa siku ile niliyokuwa nimekutana naye alikuwa ndiyo anaondoka moja kwa moja pale nyumbani.


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMAPILI
Post a Comment
Powered by Blogger.