SUMU YA PENZI SEHEMU YA THELASINI NA TATU (33)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Tulirudi kitandani huku akinisindikiza na ma kiss mfululizo tena alinishangaza maana alinifuta maji mwili mzima na kuanza kunibusu kuanzia kwenye nyayo wa mguu hadi usoni, akanisifia umbile langu na kuniomba nimchezee wimbo wa Shakira uliokuwa kwenye simu yangu, nikajivutavuta kwa aibu lakini baadaye nilicheza  kwa kukizungusha kiuno changu kwa ufundi, mwenyewe akadata na kuja kucheza na mimi, yaani kwa kifupi tulikuwa kama machizi. Na tukawa kwenye ulimwengu mwingine kabisa ambao sikudhani kama nitafika.
Nikajikuta nikisema; “Nakupenda sana Mr X,” naye akanipigia magoti na kunibusu mkono wangu, akaniambia “nakupenda sana Mary, bila wewe sidhani kama nitafurahia mapenzi tena.”
Yaani hata macho yake yalitafsiri kuwa ananipenda sana na alikuwa akiniona kama malkia wake, na mimi nilimtazama hivyohivyo na kumjibu kwa macho tu kuwa japo nimewahiwa lakini nitakuwa naye kila sehemu atakayotaka niwe. Akainuka na kunikumbatia tukajitupa kitandani tukiwa hatuna nguo hata kidogo, tukaanza kuongea kila kitu ambacho mtu anajisikia moyoni mwake.UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMAMOSI
Post a Comment
Powered by Blogger.