SUMU YA PENZI SEHEMU YA THELASINI NA MBILI(32)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Siku hiyo mume wangu alikuja nyumbani akionekana ana mzuka sana na mimi tena nadhani kutokana na somo jipya alilosema alikuwa akifundishwa na Dr. Ben lililokuwa likihusu vyakula fulanifulani vinavyochochea hisia za tendo la ndoa. 
Moja wapo ndio akanitajia mti fulani unaoitwa Mlonge, tena alikuwa akija na mbegu zake ambazo alikuwa akizitafuna na kunywa na maji. Tena mwenyewe alidai ni zaidi ya pweza au karanga.
SIkuweza kuthibitisha hadi aliponiweka kitandani, alionekana ana nguvu sana na alikuwa wa moto sana kiasi kwamba aliponilalia alinipandisha mzuka na mimi ile mbaya. Baada ya kunichezea kila sehemu kama tulivyofundishwa na kuhakikisha nimelainika, akachukua mdudupori wake na kunichomeka nao kwa staili ya mbuzi kagoma na kuanza kunipelekesha.
Nilishangaa tofauti na siku nyingine alikuwa akitumia dakika nyingi tena alizidi hadi robo saa nzima, wakati huo mimi nilikuwa nakitafuta kigoli cha pili, yeye hata cha kwanza alikuwa bado.
Nilipomtazama vizuri niligundua mkono wake mmoja alikuwa ameminya yai lake moja, kwa mkono. Hapo nikajua kuwa alikuwa akilizuia lisipande juu kwa sababu likipanda tu atakojoa. Nikatumia ujanja na kumwambia anishike Tchuchu yangu, alipotoa tu mkono nilishangaa lile yai ilikipanda haraka juu nakupotea kisha nikamuona akipiga makelele na kunishikilia kwa nguvu wowowo langu akamwaga mwenyewe, tena akanikandamiza selebobo wake nusura aniguse kizazi, tena mbegu zilikuwa za moto mno.
 Alionekana akisikia utamu balaa maana hilo bao alilonifunga lilikuwa jingi  kiasi kwamba kama ningemimina kwenye kikombe lingejaa.
Nikagundua kumbe lile yai moja linalopanda juu mwanaume akilizuia kwa kulivutia kwa chini huku akifanya mapenzi basi atachelewa kumwaga mpaka aliachie lile yai lipande juu lenyewe.
Maisha yaliendelea na mume wangu alizidi kuwa mtaalamu lakini pia nilianza kugundua kitu tofauti, mara kwa mara alikuwa akizungumza na Dr Ben hadi nyakati za usiku. Tena kuna kipindi alikuwa akipenda sana kuyachezea makalio yangu.
Kuna nyakati za mwishomwisho akawa hapendi kabisa kufanya mapenzi na mimi na ilipita hata mwezi mzima.
Wakati huo na mimi nikaamua kujifunza yangu na Mr X. kuna siku  Mr X aliniambia kuwa nilionekana nimeiva hivyo tukapanga gemu. Lakini tofauti na siku nyingine ambazo tunakutanaga gesti, siku hiyo alinielekeza hadi kwake.
Nilipoenda, sikufanya makosa nilihakikisha nampelekesha na ule wimbo wangu wa Shakira hadi akajuta, maana si kwa mauno yangu, si kwa utaalamu niliokuwa nao. Yaani nilikuwa naweza hadi kuzuia hisia zangu na kuamua nimwage au nisimwage.
Tena nakumbuka alipokuwa akikojoa cha tano wakati mtoto wa kike ndiyo kwanza nilikuwa nimepiga kimoja, mwenyewe alivua ile maski yake akanikiss na kuniambia maneno ambayo sikuamini kama wanaume wanaongeaga wakifikishwa. Maana alikuwa akiongea huku akitetemeka kwa msisimko wa utamu.
“Mary, tangu nianze mapenzi sijawahi kufikishwa kama ulivyonifikisha wewe! Nimejikuta nikitamani hata usiondoke leo kurudi kwa mumeo,” alisema Mr X akiwa amenikumbatia jasho likitutiririka kwa mchezo tuliokuwa tumetoka kuufanya.
Jasho lake lilitiririka juu ya mwili wangu na kunitekenya, kiasi kwamba hata mimi nilijisikia nimeunganika na yeye na kuwa kama vile mwili mmoja, nilijisikia tofauti sana baada ya kufanya naye mapenzi siku hiyo. Mwili wangu ulikuwa kama vile nimepigwa na jotoridi ambapo vipele vya ubaridi mwepesi vilionekana vikijaa mwilini mwangu.
Nilimtazama Mr X uso wake akiwa amevua ile maski, macho yake, sura yake ya utilivu, mwili wake uliojazia alikuwa hendsam na hata nikajisikia ameendana na mimi, kwa kila kitu si mzee wangu.
Sio siri si kuwa nilikuwa nikimkosea mume wangu lakini kiukweli ilifikia kipindi nikatamani kama yeye angekuwa amenioa mimi na si Mr George. Nikakumbuka kila aliponikunja na kunikunjua, hata mlingoti wake ulikuwa ukiendana na kinu changu, sikuweza kuongea lakini hata mimi sikuwahi kukutana na utamu kama wa Mr X ambaye alipovua tu ile maski alinitajia jina lake kuwa ni Jermaine.
Tukiwa tumelala tukisubiri miili yetu ipoe, Mr X aliniambia mengi kuhusu somo aliloliita mwenyewe kama somo la mwisho kwa mkufunzi yaani mimi. Akaniambia kuwa kufanya mapenzi, ni tendo la heshima linalounganisha nguvu kutoka miili miwili na kuwa mwili mmoja. Akasema ndani ya miili kuna majimaji yanayochanganyika kwa wapenzi wawili wakati wa kufanya mapenzi kwa njia ya jasho, mate na majimaji ya sehemu za siri ambayo kama yakiendana huwafanya wapenzi wawe wamoja lakini kama majimaji hayo yakitofautiana basi kila baada ya kufanya mapenzi kila mmoja anaweza kumkinai mwenzake au  mmoja kuchoka au kuumwa na zoezi zima la kufanya mapenzi kuwa kama adhabu.
Hii alisema inaitwa Love Chemistry.  Baada ya kusema hayo alisema kuwa eti mimi na yeye tuna Chemistry na aliniambia alihisi kwa mara ya kwanza siku hiyo. Sikuwa naelewa kitu lakini nilijikuta sitaki tu kubanduka kifuani pake na hata yeye alikuwa amening’ang’ania kweli.
Baadaye alinibeba kama mtoto mdogo tukaingia bafuni, siku hiyo nilikuwa nafuraha sana, kwanza kutokana na kumuona Mr X sura yake, na pili kwa kumfikisha, lakini  tatu nilikuwa sijui nilikuwa na furaha kwa sababu gani, lakini moyo wangu ulikuwa umefunguka sana. Kiasi kwamba hata nilipomfikiria mume wangu nilikuwa nikimuona kama mtu tu wakupita.
Nikawa natamani hata nikimbie ndoa yangu, nikapanga kufanya hivyo maana mapenzi yalinichanganya kweli. Nikaona kama nikimpoteza Mr X au Jermaine sitaweza kumpata mwanaume mwingine tena kama yeye, kwasababu wanasema mapenzi ya kweli huja mara moja tu katika maisha. Na mimi japo nilichelewa hadi nikaolewa lakini niliona nina haki ya kuwa na Mr X.

ITAENDELEA IJUMAA
Post a Comment
Powered by Blogger.