SUMU YA PENZI SEHEMU YA KUMI NA MOJA (11)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


“Hapa unaweza ukakuta mtu anapenda kumuona mpenzi wake akiwa ndani awe uchi tu hata kama anafanya kazi nyingine ambayo haihusiani na mapenzi. Lakini mwingine unakuta anapenda kumuona mpenzi wake akiwa amevaa kanga moja tu na wengine huenda mbali zaidi kwa labda kupenda kufanya mapenzi na mpenzi wake porini hata kama wananyumba na vyumba vya kutosha.
“Kupenda huku kunamjengea mtu huyo kuwaza mpenzi wake akiwa hivyo na fikra hizo hukaa kichwani na kuwa hiki kitu kinachoitwa sexual fantancies. Mbaya zaidi ni kwamba mtu anakuwa nazo lakini hazisemi  kumwambia mpenzi wake naye akakubali na kufanya kama mwenzake anavyotaka. Lakini nyingi kati ya hizo hushindikana kufanyiwa kazi na kuishia kwenye fikra za mtu bila kutoka nje kwa kuwa mpenzi mmoja huona aibu kumwambia mwenzake na kuishia kujinyima utamu wa mapenzi.
“Sasa kama hautamwambia mpenzi wako unachojisikia kutakuwa na mapenzi kweli hapo?” Aliuliza Dr.Ben tukajibu hapana, hapo nikiwaza mgogoro wangu na mume wangu ambaye kila siku sexual fantancy yangu ni kumuona akifanya mapenzi na mimi huku akinibeba mikononi wimawima lakini siku zote nimekuwa nikiambulia kifo cha mende, na kweli siwezi kumlaumu kwa sababu siwezi kumwambia kwa aibu.
Baada ya hayo Dr.Ben akatuuliza maswali ya kuhusu sexual fantancy ya kila mmoja wetu na kila mmoja wetu alitoa yake hadi nikashangaa kuwa kumbe ni mada na ina mantiki yake. 
Je, Mwenzangu ‘sexual fantancy’ yako ni ipi kuhusu mpenzi wako? Funguka kwa kukomenti hapo.
Baada ya mada hiyo Dr. Ben alitutazama na kutuuliza swali moja akasema “Je, Utajuaje kama mpenzi wako ameridhika baada ya tendo la ndoa?” kisha alitulia muda mrefu akisikilizia majibu yetu lakini kitu cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyetoa jibu.
Akacheka na kusema kuwa si kwamba hatuna majibu ya maswali hayo ambayo yanaendana na ukweli bali hatujawahi kujiuliza swali hilo. Akasema kuwa ni rahisi kwa mwanamke kujua mwanaume wake ameridhika na tendo la ndoa baada ya kumuona amekojoa, lakini ukweli ni kwamba kuridhika kwa mwanaume ni zaidi ya hapo.
Nikatamani kujua alivyosema; kuridhika kwa mwanaume ni zaidi ya hapo, alimaanisha nini? Hivyo nikanyosha mkono na kumuuliza. Dr. Ben akatabasamu na kuniambia ; “Mary..mwanaume kukojoa hakumaanishi ameridhika na tendo la ndoa.”
Kwa jibu hilo nikajikuta nimejifunza kitu, maana kila mara nimekuwa nikijua sisi wanawake tu ndiyo tuna tatizo la kutofikishwa, kumbe hata wanaume?
Akasema; “Kwa bahati nzuri wanaume wengi hawajui kama nao hawafiki kileleni tofauti na wanawake, hivyo kufanya suala hilo kutopewa ukubwa unaostahili japo kuwa dalili zake ndizo hupelekea mwanaume kujikuta akimuacha au kumsaliti mpenzi wake na kuhamisha mapenzi kwa mwanamke mwingine ambaye ndiyo humfikisha.”
“Wengine kama ni wanandoa utakuta wanajificha na kufanya usaliti lakini asilimia kubwa hutokana na kutoridhika kimapenzi, hivyo cha kufanya ni kujua dalili zipi zitakufanya ujue kama mwanaume wako ameridhika na wewe baada ya kila tendo la ndoa,” alisema Dr Ben.
Mmimi nikawa nasubiri kwa hamu nizijue dalili hizo ingawa hazikunihusu moja kwa moja lakini nilitaka kujifunza zaidi. Nikafungua mkoba wangu na kutoa kikaratasi na peni na kuanza kuandika niliyokuwa nikielekezwa.
Akaanza: “suala la mtu kujua mpenzi wake kama ameridhishwa au lah! lina mtazamo mpana sana. Wengi wamejikuta wakimwagwa au kusemwa vibaya na wapenzi wao yote ni kwa kutojua dalili zipi zinaonesha kama wapenzi wao wameridhika au bado.
“Wanaume wao ni wepesi kusomeka kuwa wameridhishwa kwa kuwa tu wao hufikia ridhiko lao kwa kukojoa. Ni nadra sana mwanaume kushindwa kukojoa kwenye tendo la ndoa kwa sababu maumbile yao hayawezi kuhimili tendo hilo bila kukojoa kwa muda mrefu.
“Hata hivyo wanaume huwa wana mtindo wao wa kuridhika mbali na kukojoa, wao wanajali wanakojoaje? Maana hata kwenye punyeto au ndoto nyevunyevu za usiku huwa wanakojoa lakini hawaridhiki kuzidi pale wanapofanya mapenzi na mwanamke anayewajulia,” alisema Dr Ben mimi nikabaki hoi kwa somo hilo.


ITAENDELEA IJUMAA
Post a Comment
Powered by Blogger.