ORODHA YA FIFA: TANZANIA YA PANDA YAPANDA NAFASI NNE

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Shirikisho la soka Duniani FIFA December 22 2016 limetoa orodha mpya ya viwango vya soka, Tanzania imefanikiwa kupanda katika viwango hivyo vya soka vya FIFA.

Tanzania imesogea kwa nafasi nne katika viwango vya FIFA na sasa itakuwa nafasi ya 156 kutoka nafasi ya 160 iliyokuwa mwezi uliyopita, taarifa hiyo inakuja baada ya Tanzania kushuka mara mbili mfululilizo.
Katika orodha ya dunia Argentina bado inasalia katika nafasi ya kwanza.

Orodha ya mataifa ya Afrika duniani
Senegal (33)
Ivory Coast (34)
Tunisia (35)
Egypt (36)
Algeria (38)
DR Congo(48)
Burkina Faso (50)
Nigeria (51) (hakufuzu Gabon 2017)
Ghana (53)
Morocco (57)
Post a Comment
Powered by Blogger.