NAIBU INSPEKTA JENERALI WA POLISI ABDULRAHMANI KANIKI AFUNGA MAFUNZO YA KATIKA CHUO CHA MAAFISA WA POLISI KIDATU.

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi ,  Abdulrahmani Kaniki akisalimiana  na Kamishina wa Polisi operesheni na mafunzo,  Nsato Marijani  alipofika  kufunga mafunzo ya upelelezi kwa  askari polisi  wa Kinondoni  katika chuo cha  maafisa wa polisi Kidatu mkoani Morogoro.
 Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi ,  Abdulrahmani Kaniki akisamilimiana na Mkuu wa  Upelelezi wa Kinondoni  Mark Njera  alipofika  kufunga mafunzo ya upelelezi kwa  askari polisi  wa Kinondoni  katika chuo cha  maafisa wa polisi Kidatu mkoani Morogoro
 Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi ,  Abdulrahmani Kaniki akimkabidhi cheti cha Upelelezi  Polisi Konstebo Jonathani Tossi wakati wa hafla ya  kufunga mafunzo ya upelelezi kwa  askari polisi  wa Kinondoni  katika chuo cha  maafisa wa polisi Kidatu mkoani Morogoro
  Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi ,  Abdulrahmani Kaniki akifafanua (katikati) jambo wakati wa hafla ya  kufunga mafunzo ya upelelezi kwa  askari polisi  wa Kinondoni  katika chuo cha  maafisa wa polisi Kidatu mkoani Morogoro. Kulia ni Kamishina wa Polisi  operesheni na mafunzo, Nsato Marijani 
 Kamishina wa Operesheni na Mafunzo ( CP) Nsato Marijani  akimsikiliza  mwakilishi  wa Taasisi ya Hans Sidel  Bi Juliana wakati wakimsubili Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi kuwasili katika chuo cha maafisa wa Polisi Kidatu kwa ajili ya kufunga mafunzo ya upelelezi kwa askari Polisi wa mkoa wa kipolisi Kinondoni. ( picha na Tamimu Adam- Jeshi la Polisi).
Post a Comment
Powered by Blogger.