MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI MATATANI MKOANI MBEYA

 Mwimbaji wa nyimbo za Injili jijini Mbeya, Aman Mwasote (kulia), akiwa na wakili wake, Sambwee Shitamba anayemtetea katika kesi ya kutuhumiwa kumwita mchawi mtoto wa kike (9)  jina linahifadhiwa wakati akiwa kwenye mkutano wa  injili wakiwa nje ya Mahakama ya Wilaya Mbeya. (Picha na Kenneth Ngelesi)

Post a Comment
Powered by Blogger.