JE WATAKA KUJUA: KILA MWAKA MITI BILIONI 4 UKATWA KWA AJILI YA KUTENGENEZA KARATASI

Kila mwaka zaidi ya miti Billioni 4 hukatwa kwa ajili ya kutengeneza karatasi zinazotumika kuchapishia magazeti, vitabu, madaftari risiti, maboksi, kadi na mambo yote yanayohitaji karatasi. Matumizi ya karatasi yanatajwa kuongezeka kwa takribani asilimia 400 ndani ya miaka 40 iliyopita.

Kwa siku moja tu takriban miti 27,000 inakatwa kwa ajili ya kutengeneza karatasi za chooni. (toilet papers).

Imeandaliwa na Moses Mutente
Post a Comment
Powered by Blogger.