YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azan Zugu akiongozwa na Mpambe wa Bunge kutoka baada ya kuahirisha kikao cha Bunge ili kuomboleza Kifo cha Spika Mstaafu, Samuel Sitta, mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti wa Bunge , Mussa Azzan Zungu akiahirisha kikao cha Bunge ili kuomboleza Kifo cha Spika Mstaafu, Samuel Sitta, mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakwaya wa Kwaya ya Zaburi kutoka Usharika wa Ulemo KKKT Iramba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Wabunge wakizungumza baada ya bunge kuahirishwa mjini Dodoma Novemba 7, 2016 kufuatia kifo cha Spika Mstaafu,Samuel Sitta. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura, Mbunge wa Viti Malum Felista Bura, Mbunge wa Viti Maalum, Shally Josepha Raymond, Mbunge wa Musoma Mjini Mathayo Manyinyi, Mbunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe, Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Tekinolojia, Mhandisi Stella Manyanya na Mbunge wa Busanda, Lolesia `Bukwimba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju akiteta na Mwanansheria Mkuu wa Serikali Mstaafu na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (kulia) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mwenyekiti wa Bunge , Mussa Azzan Zungu akiahirisha kikao cha Bunge ili kuomboleza Kifo cha Spika Mstaafu, Samuel Sitta, mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakwaya wa Kwaya ya Zaburi kutoka Usharika wa Ulemo KKKT Iramba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya wa Kwaya ya Zaburi kutoka Usharika wa Ulemo KKKT Iramba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Mary Mwanjelwa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  wanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju akiteta na Mwanansheria Mkuu wa Serikali Mstaafu na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (kulia) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju akiteta na Mwanansheria Mkuu wa Serikali Mstaafu na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (kulia) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment
Powered by Blogger.