SUMU YA PENZI SEHEMU YA TANO (05)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


“hebu niambie mbona nimejionea mauzauza, unafanya nini siku hizi?” nilimuuliza Blandina maana nilijua huenda yeye na shemeji Frank walikuwa wameamua kuingia kwenye kucheza sinema za ngono.
“najua utakuwa umechanganyikiwa sana kuona tukiwa katika hali ile, lakini ni kitu ambacho mimi na Frank tumekuwa tukikifanya siku hizi,” alisema Blandina bila aibu.
“yaani siku hizi mnajianika mbele ya mtu na kufanya mambo ya siri hadharani, Kweli Blandy?”
“hapana siyo kama unavyofikiria, yule ni Dr. Ben ni mtaalamu wa mapenzi ‘sexiology’ ni mkufunzi pekee wa  masters huko Marekani ni rafiki yake Frank amerudi Bongo muda si mrefu.”
Kwa maneno hayo nikajikuta nikicheka; “nini mapenzi yanasomewa siku hizi si ndiyo?”
“ndiyo hivyo, kwa wenzetu wanajua mambo mengi na Frank alitaka atufundishe ili tuenjoy maisha yetu ya mapenzi na kweli tangu aje ametufundisha mengi mno ambayo kwa mtu kama wewe hautaelewa,” alisema Blandina akionekana hana chembe ya mzaha hata kidogo.
“Blandina unayoyaongea ni kweli?”
“ndiyo na kesho tuna darasa tena kama unaweza kuja njoo uone?” alisema Blandina akiniongeza ustaajabu nikawaza kumbe pale walikuwa darasani?
Nilirudi nyumbani na kumpikia mume lakini nikawa ninawaza hayo mambo aliyoniambia Blandina, nikajikuta nikicheka nilipowaza eti kuna mtu ana Masters ya mapenzi yaani kitaalamu Sexiology.
Nikastaajabu mtu huyo anajua vingapi, kidogo nilikuwa nina shauku lakini nilijisikia nipo sehemu salama kwa sababu kumbe mtu mwenyewe ni rafiki yake shemeji yangu Frank.
Nilipomuwaza Frank nikajikuta nikimvutia picha jinsi alivyokuwa akimchambua Blandina, nikatamani awe ananifanya hivyo mimi lakini nikalikemea wazo hilo nikiajiambia; “we yule ni shemeji yako usimtamani hata kidogo.”

ITAENDELEA JUMAMOSI

Post a Comment
Powered by Blogger.