SUMU YA PENZI SEHEMU YA SITA (06)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Nililala usiku mzima nikiwaza hiyo kesho itakuwaje hata nilipoamka nilijikuta nikiwa na kumbukumbu za ndoto kibao nikiota nimekunjwa kunjwa na mimi nikipewa dozi za kufa mtu.
Siku hiyo nilijiandaa mapema na kuandaa nguo ambayo itanistiri hata nikijilowesha na nikanyoa vizuri bustani yangu na kujiweka swafi. Nikiwa nanyoa nikajiuliza mwenyewe kwanini nilifanya vile lakini sikuwa na jibu nadhani ni akili za kike ndio zilikuwa zikinipelekapeleka.
Nilipomaliza nilisikia simu yangu ikiita, niliangalia ilikuwa ni meseji kutoka kwa Blandina akiniambia; “Mary njoo tutaanza sasa hivi.”
Kwa maneno hayo nilivaa harakaharaka na kuchukua bajaji hadi mtaa wa akina Blandina, nikaingia hadi ndani, nikawakuta wote wamekaa sebuleni.
“Shemeji, Ben huyu ni rafiki yangu anaitwa Mary nadhani jana tulionana lakini siyo rasmi,” alisema Blandina baada tu ya kuiona.
“Nashukuru kukufahamu,” nilimsalimia kwa kumshika mkono huyo Dr Ben niliyeambiwa kuwa eti yeye ni mtaalamu wa mapenzi.
“Nashukuru kukufahamu pia mrembo, natumaini tutakuwa wote darasani leo,” aliniambia Dr Ben. Nikajikuta nikimuitikia kwa kichwa.
Kweli baada ya kunywa juisi nikamuona Blandina akiinuka na kuingia kwenye kile chumba cha jana yake na kurudi akitupa taarifa kuwa kila kitu kilikuwa tayari.
“usisahau kufunga mlango tu yasije yakawa kama jana,” alisema Frank na wote tukacheka; nilijua huo ulikuwa utani kwa ajili ya niliyoyafanya  wiki ile niliyokuja bila taarifa.
Wote tuliingia ndani ya kile chumba na leo yule dr. Ben alianza kufundisha kuhusu sehemu zinazozalisha hisia na sehemu zinaonesha hisia. Mwenyewe kitaalamu akaziita Extreme parts that cause Extreme Lust.
Nikiwa ninashauku kutokana na upya wangu kwenye darasa hilo ndiyo tukaanza kufundishwa sehemu za mwanaume ambazo akishikwa lazima awashwe.
Hapa akaanza kututajia mambo ya ajabu ambayo nitakuambia maana nimeyanasa yote. 


ITAENDELEA JUMAPILI

Post a Comment
Powered by Blogger.