SUMU YA PENZI SEHEMU YA SABA (07)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Wakati huo akamtaka shemeji Frank avue nguo zake zote ili sehemu hizo Blandina na mimi tujifunze kwa kuzigusa, mimi sikuweza kumshika shemeji  yangu nilimuachia kazi hiyo Blandina maana kwangu kumuona tu shemeji yangu akiwa uchi ni kinyume na dini na mila zetu.
Kufumba na kufumbua macho Frank alivua nguo zake na kunitazama akasema bila wasiwasi; “Shemeji usiogope njoo.” Lakini nilipokaa sikujaribu kusogea niliamua kutazama tu.
“Haya kwanza nitaitaja sehemu ya kwanza ambayo ni midomo yake, hapa tutazungumzia sehemu za ndani na za nje zote zinazozalisha hisia. Swali ni kwamba unazifikiaje sasa hizo sehemu?” aliuliza Dr. Ben.
“kwa mdomo na ulimi wangu,” alijibu Blandina.
“Umepatia,” alionekana kupongeza Dr.Ben.
Mimi nikabaki macho kodoo!
Basi Dr. Ben akaendelea na safari hii akamtaka Blandina ajaribu kutuonesha jinsi ambavyo watu wa kawaida hutumia midomo yao kufikia sehemu mbalimbali zenye hisia zilizopo mdomoni kwa mwenza wake. 
Shoga yangu bila aibu akaanza kumla denda kwa manjonjo baby wake, Frank wakati huo huku akimpapasa nyuma ya shingo yake. Nikaona shemeji Frank naye akitoa sapoti vilivyo hadi nikaanza kuhisi huenda walikuwa wakinikomoa mimi kwa kunifanyia makusudi.
Lakini nikazipuuzia hisia hizo kwa kuwa anayejua kama nyumbani sipewi mambo adimu kama hayo ni Shoga yangu Blandina tu na sikudhani hata kidogo kama aliwaambia hao watu wake.
Basi shoga yangu nikaona anaendelea safari hii nikaona jicho limemlegea akaanza kuugulia kama vile ameingizwa mpini, nikajisemea kimoyomoyo; “Mh huyu anafanya makusudi sasa denda gani hadi kelele!” nikaona ameacha mdomo akaanza kushuka chini huku akimbusubusu Frank sehemu mbalimbali hadi akashuka kama vile anaenda kumnyonya nonino yake, nikatamani kukimbia lakini kumbe hata yule mwalimu aliliona hilo akasema: “Blandina Stop!”
“Nimekwambia utuoneshe mfano wa ambavyo watu wa kawaida hutumia midomo yao kufikia sehemu mbalimbali za mdomo wa mwenza wake, mbona unapitiliza?” alisema Dr. Ben.
Akaanza kufafanua kwa maneno haya ambayo aliyazungumza kwa utaalamu mno hadi nikanyosha mikono kuwa huyu mtu kweli ana midigrii yake kwenye masuala ya malavidavi. Akaanza kwa herufi kubwa;
“JINSI YA KULA DENDA/ FRENCH KISS
“Denda ni moja ya vikolombwezo katika mapenzi vinavyoonesha jinsi gani wapenzi wanapendana, denda ambalo wengi kibongobongo huliita romansi huwa ni jambo gumu kwa mtu ambaye hajawahi kufanya.
“Na kwa wale wapenzi waliozoeshana tendo hili hujikuta wakipata tabu pindi wanapopata wapenzi wapya ambao hawajui, hawawezi au pengine hawataki kabisa denda kwa sababu mbalimbali ikiwemo kinyaa,” aliongea Dr Ben nikajikuta moja kwa moja nikimuwazia mume wangu ambaye kwanza hajui denda maana yake nini na japo ananipenda mno lakini hajawahi hata siku moja kunipa ulimi. Nadhani hapa mwalimu alikuwa sahihi kuwa pengine anaona kinyaa.


ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.