SUMU YA PENZI SEHEMU YA NNE (04)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Wakati namaliza hivyo ghafla nilisikia mlango wa chumbani kwangu ukifunguliwa, nikiwa nimekaa vilevile nikashtuka akiwa ni mume wangu, Mr. Ben.
Alionekana kuwahi kurudi mapema siku hiyo kuliko kawaida yake. Alikuwa ameshtuka kuniona nikiwa katika hali hiyo, hata hivyo alitulia na kunisubiri nivae kabla hajazungumza chochote lakini nilimuona akiwa amekasirika mno.
Nilijizoazoa na kujisemea moyoni; “Bora anione, si haniridhishi sasa nifanyaje, nichepuke?”
Nilipomaliza nikaenda sebuleni nilipomuona akiwa amekaa na mimi nikaenda kimyakimya na kukaa pembeni yake nikiinamisha uso wangu kwa aibu kwa sababu sikutaka anikute nikiwa kwenye hali ile.
“mke wangu ulikuwa unafanya nini?” alianza kusema.
“kama ulivyoniona.” Nilijibu kijeuri.
“nashindwa kuelewa kwanini hakunisubiri nije ilitufanye mapenzi, kwanini unaamua kujichua hivi haujui kuna madhara?”
“nilijisikia sana leo na wewe nilijua leo kama kawaida yako upo bize ndiyo maana nikaamua kujimalizia haja zangu mwenyewe.”
“basi usijali mke wangu nitakuwa kila siku nafanya mapenzi na wewe ili uridhike,” alisema kwa unyonge kama vile ameelewa kosa lake.
Lakini kumbe hakuwa amenielewa badala yake tangu siku hiyo ikawa akirudi kila siku ananipalazapalaza tu na kuniacha nikiwa nimekolea ile mbaya. Nikajikuta nikijuta kwanini hata nilimwambia awe anafanya mapenzi na mimi kila siku.
Tuliendelea hivyohivyo kwa wiki nzima, nikamuona mwenzangu hata hivyo jogoo wake alikuwa akizidi kupungua makali na siku nyingine akashindwa kupanda mtungi kabisa.
Nilimuonea huruma lakini naye taratibu alianza kusahau kuhusu zoezi letu la kufanya mapenzi kila siku na mwishowe akarudia tabia yake ileile ya ubize.
Nikajikuta nikiyakumbuka yale mambo niliyoyaona kwa Blandina siku ile, nikaamua kumtafuta kwenye simu; akapokea nikamuona tukutane na kweli tulikutana maeneo ya Posta na nikaanza kumuuliza maswali kibao.

ITAENDELEA IJUMAA

Post a Comment
Powered by Blogger.