SUMU YA PENZI SEHEMU YA NANE (08)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


“Denda kwenye mapenzi ndiyo njia sahihi ya kufikia sehemu mbalimbali zenye hisia katika mdomo wa mpenzi wako, wanasayansi wa masuala ya mapenzi sexologist wamegundua kuwa kwenye midomo hasa ya mwanamke na mwanaume kuna vichocheo vya hisia ambavyo huamshwa hasa kwa denda,” alisema Dr. Ben akili yangu ikitamani kuhisi hizo hisia zilizotajwa maana japokuwa nilishawahi kuliwa denda huko nyuma lakini kwa maneno yake nikajikuta kama nilikuwa nikikosea au kukosewa kuliwa vizuri.
“Lakini ni jinsi gani mtu anaweza kujifunza kula denda na kugusa sehemu hizi ninazozizungumzia? Hatua muhimu ni hizi: Kwanza hakikisha midomo yako ni milaini aidha kwa kunywa maji au kuilanisha kwa kuilamba,” aliposema hapa nikajikuta nikiilamba midomo yangu na wale wenzangu wakafanya hivyohivyo.
“Hatua ya pili hakikisha mdomo wako ni msafi na hautoi harufu mbaya ili usimkere mwenzako. Hatua ya tatu hakikisha umemshika mpenzi wako kwa ukaribu uliosahihi mkiwa faragha; hatua ya nne hakikisha unagusanisha midomo ya mpenzi na yako, huku ukianza kuamsha hisia za nje ya midomo yake kwa kuinyonya taratibu hasa lipsi; za juu na za chini.”
“ hatua ya tano hakikisha unaingiza ulimi wako ndani ya mdomo wake ukizungusha hasa sehemu za ndani za mdomo wa juu na sehemu nyingine huku ukisikilizia kuhema kwake kujua sehemu anazopata hisia zaidi na hapo ndipo unapotakiwa kuzungukia,” alisema Dr.Ben nikaanza kuvuta kumbukumbu kama nimwashawahi kufanyiwa kitu kama hicho , ubongo wangu ukakosa kumbukumbu maana sikuwahi.
“kinachofuata hapo ni manjonjo kati ya wapenzi wenyewe kwa mfano mwingine anaweza akafurahia kunyonya ulimi wa mpenzi wake kwa mdomo wake lakini cha muhimu ni kumpa naye nafasi yeye kukufanyia kama ulivyomfanyia wewe. Kingine nisisahau denda hufanyika wote mkifumba macho,” alisema Mr X na kuonya kuwa  kamwe mtu asiingize ulimi wake mbali ya sehemu alizozitaja asije akasababisha mwenzake kupaliwa bure.
“Ukifata hatua hizi na kujaribu kumfanyia mpenzi wako kama hajawahi kula denda, atakuganda kila siku,” alihitimisha Dr. Ben na kumtazama Blandina na Frank kisha akamwambia Frank aanze kumla denda Blandina kwa vitendo kama alivyoelekeza.
Basi bila kuuliza shemeji Frank akiwa vilevile uchi wa mnyama akaanza kufanya yale aliyoambiwa,  na alipofikia hatua ya kuanza kuingiza ulimi wake mdomoni mwa Blandina nilianza kuona shoga yangu akihema kwa fujo kweli na kuonekana kaishiwa haiba maana alimng’ang’ania kweli shemeji yangu.
Yaani huwezi amini japo maelekezo yalikuwa mafupi lakini wenzangu waliendelea hadi nusu saa nzima, ni wazi walikuwa wakijisikia utamu wa ajabu. Na mimi nilikuwa nikitamani kufanyiwa hivyo lakini nikaanza kujifikiria nani anifanyie.
Wakati nikifikiria hayo,Dr Ben aliyeonekana hababaiki na hisia zozote bali alisimamia kazi yake alimtaka Blandina naye ajaribu mafunzo hayo mapya kwa Frank. Nikaona akimgeuza yeye na kuanza kumla denda yaani huwezi amini sekunde chache tu zilizofuatiwa niliona mlingoti wa shemeji ukisimama kwa kasi na kuonesha wazi jinsi alivyojaaliwa. Siyo siri nilitamani sana.
Shemeji Frank akionekana amekolewa kwa aliyokuwa akifanyiwa na Blandina si ndiyo akaanza kumvua nguo shoga yangu. Kufumba na kufumbua wakawa watupu huku kila mmoja akionekana anahamu na mwenziye. Ama kweli walikuwa wakinichanganya kweli, hali yangu ikawa mbaya nikatamani nimpate mtu anitibu, tena muda huohuo.
Nilipokuwa nawaza hayo nikamuona Dr. Ben akinitazama akasimama na kuninyanyua mkono akinitoa kwenye kile chumba sikujua alikuwa amenisoma mawazo yangu au lah lakini nikatamani hata yeye anifanye atakavyo na nilikuwa tayari kulala naye kwa muda huo maana shetani wangu alikuwa ameshanipanda. 

ITAENDELA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.