SUMU YA PENZI SEHEMU YA KWANZA (01)

SUMU YA PENZI SEHEMU YA KWANZA (01)
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Mimi ni msichana wa miaka 25 nimeolewa na mume wangu ambaye kidogo amenizidi umri, yeye ana miaka 48. Mimi ni mama wa nyumbani na yeye ni mfanyakazi wa serikalini. 
Japokuwa sijajaliwa kuzaa naye lakini maisha yetu ni mazuri na ya amani, hivyo ndivyo tunavyoonekana kwa watu, lakini ndani nimekuwa na mgogoro mkubwa wa nafsi.
Ingawa Napata kila ninachokitaka kuanzia pesa, uhuru wa kufanya chochote lakini bado nina tatizo linalowakumba wanawake wengi hasa linapokuja suala la kuridhishwa kimapenzi.
Nimekuwa nikisikia tu kwa wenzangu kuhusu masuala ya kufikishwa kileleni na kuambiwa inavyokuwa, lakini mimi  sijawahi kufika hata siku moja. 
Nimekuwa nikisikia habari za wanaume wanaoweza kufanya mapenzi na wake zao zaidi ya saa moja yaani bandika bandua na jinsi utamu wake unavyokuwa, nimesikia kuhusu wanaume watundu wawapo kitandani kuanzia mambo ya kunyonya huku chini na mambo mengi ya ajabu lakini kwangu yamekuwa ni stori tu kwa sababu kwangu siyaoni.
Nadhani hapa ni vyema nimuongelee mume wangu mtu wa aina gani, yeye ni mfanyakazi kweli yaani hata akiwa nyumbani anakuwa akifungua laptop yake na kukesha akiandika haya na yale. Mimi mara nyingi nitakuwa nimelala kitandani kwa mikao ya kila aina ili mradi mwenzangu avutike lakini mara nyingi huishia kuniambia; “Sorry Honey nipo bize sana, wewe tangulia kulala.”
Hiyo huenda na kufikia hata mwezi mzima, lakini pindi anapojisikia hamu yeye ya kufanya mapenzi huja kama kifaru aliyejeruhiwa, hunivamia na manguvu kama mwanaume kweli. Lakini anachofanya nikuniparamia na kutumia manguvu kama ananibaka na hapo kwenyewe hata dakika moja hamalizi na kuniacha nikiwa ndiyo kwanza kama vile nimeamshwa na kukatishwa stimu.
Tena dakika mbili nyingi utasikia anakoroma kiajabu kama vile ametoka kufanya kazi nziiito.
Najua kama mwanamke mwenzangu unafahamu jinsi ninavyojisikia vibaya, lakini nimekuwa mvumilivu sikuzote bila kutaka kutamani maneno ambayo mashoga zangu walikuwa wakiniambia kuhusu hao wanaume wao wa ajabu.
Nilijizuia kwa kuwa niliapa kuilinda ndoa yangu na kutojaribu kuchepuka hata siku moja.


ITAENDELEA JUMANNE

Post a Comment
Powered by Blogger.