MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » STEVEN GERRARD ATANGAZA RASMI KUSTAAFU KUCHEZA SOKA


Pamoja Blog 11/24/2016 05:26:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Aliyewahi kuwa nahodha wa timu ya soka ya Liverpool na timu ya Taifa ya Uingereza, Steven Gerrard atangaza ramsi kustaafu soka. Baada ya kucheza kwa miaka 14 mfululizo.

Aidha nyota huyo atakumbukwa kwa kuisaidia timu hiyo kushinda mataji kadhaa, Ligi ya Mabingwa Ulaya(2005), FA Cup(2001, 2006) na Kombe la ligi(Carling Cup 2001,2003,2012). Na kombe la UEFA Cup mwaka 2001 alipokuwa na umri wa miaka 18.

Nyota huyo anashikilia rekodi ya kucheza michezo 710 na kuwa mchezaji pekee wa Liverpool aliyevaa kitambaa cha Unaodha kwa muda mrefu zaidi. Huku timu ya taifa akiichezea michezo 114.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments