MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » Serikali yavipa siku mbili vyuo vikuu ambavyo havijatuma matokeo ya wanafunzi Bodi ya Mikopo (HESLB )


Pamoja Blog 11/02/2016 01:44:00 PM 0

Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Maimuna Tarish imevitaka vyuo vikuu 14 ambavyo havijatuma matokeo ya wanafunzi wao ya mwaka uliopita kwa Bodi ya Mikopo kutuma mara moja ili kuwapatia mikopo kwa walio katika utaratibu wa kupata mkopo wa serikali.

Taarifa ambayo imetolewa na Tarish imevipa vyuo hivyo 14 siku mbili pekee kuhakikisha vinatuma majina kwa Bodi ya Mikopo na kuagiza viweke mfumo mzuri ambao utawawezesha kutuma matokeo kwa haraka.


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments