MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » Sasa unaweza kupima HIV kwa kifimbo hiki cha USB


Pamoja Blog 11/10/2016 08:26:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Una wasiwasi kuwa mchepuko uliolala nao jana unaweza ukawa hauko salama na unataka kupima ngoma? Hutohitaji kwenda hospitali kujua afya yako, kifimbo hiki cha USB kinaweza kukupa majibu iwapo umeukwaa ama uko fit!

Wanasayansi wa Uingereza wamevumbua njia mpya ya kupima HIV ambayo itahitaji tu kuchomeka kifaa kwenye kompyuta kama unavyochomeka USB Flash. Watafiti wanadai kuwa kifaa hicho kinaweza kubaini virusi kwenye tone la damu na kutoa majibu yanayoweza kusomwa kwenye laptop.Kifaa hicho kinaweza kutoa majibu ndani ya dakika 30. kimetengenezwa na timu ya Imperial College London na kampuni ya DNA Electronics.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments