MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » PICHA: RAIS BARACK OBAMA AKUTANA NA RAIS MTEULE DONALD TRUMP IKULU


Pamoja Blog 11/11/2016 01:49:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu. Rais Mteule wa Marekani Donald Trump amekutana na rais Barack Obama Ikulu katika mkutano uliolenga kuandaa mazingira mazuri ya kukabidhiana madaraka.
 Mkutano huo ambao ulilenga kumaliza tofauti zao baada ya kampeni kuisha umemalizika kwa mafanikio makubwa huku Trump akimuelezea rais Obama kama mtu mzuri.
Trump pia ametumia akaunti yake ya twitta kutwitti kueleza kuwa alikuwa na wakati mzuri alipofika mara ya kwanza Ikulu na kusema kuwa mkewe Melania amevutiwa na Michelle Obama.
 Rais Barack Obama akipeana mkono na rais mteule Donald Trump 
                    Melania Trump akimsikiliza Michelle Obama walipokutana Ikulu 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments