NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA MIA MOJA(100)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Tinonko akasikia ishara ya mtu kumshika mkono, akafumbua macho na kujikuta akiwa katikati ya kundi la Mbirikimo walioonekana kuwa na hofu mno, lakini hofu hiyo haikuwa juu yake bali dhidi ya kitu kingine kikubwa kuliko.
“Tinonko!” aliita Aka-Baka, Tinonko akashtuka na kutazama katikati ya kundi la mbirikimo ambapo Aka-Baka alionekana amelazwa kwenye kichanja kama vile mgonjwa mno ambaye anakaribia kufa.
Tinonko alipomtazama vizuri aligundua kuwa hakuwa mzima, bali alikuwa mfu yaani mtu aliyetumia dawa ya Muku kurefusha uhai wake hata kama muda wake wa kufa umeishapita. Hii dawa alishawahi kuitumia Temineta Ntaganda na Farudume.
“Nilikuwa nikisubiri siku hii kwa muda mrefu sana, Tinonko, sikiliza nitakayokwambia kwa umakini mkubwa,” alisema kwa tabu Aka-Baka.
“Aka-Baka, nini unataka kuniambia? mbona upo katika hali hii,” alisema Tinonko akikaa pale chini, lakini Aka-Baka hakutaka kujibu chochote zaidi ya kuongea alichotaka kuongea.
“Nimeona vyote vilivyotokea, na najua unatafuta njia ya kutatua tatizo hili kwa sababu dunia nzima kwa sasa inajua.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

MWISHO
Post a Comment
Powered by Blogger.