NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA TISINI NA NANE(98)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Meja Generali Charles kwa muda mfupi akawa gumzo kwenye vyombo vya habari vya nchini na nje ya mataifa, vichwa vya habari vikizunguka kila saa, yeye mwenyewe pia alifahamu hilo alijua lazima nchi nzima inamjua tayari kuwa yeye ni nani.
Akiwa na bomu mkononi, huku ndani ya lile jengo akihakikisha Seba amemfunga rais vizuri karibu yake, akafungua simu yake na kuangalia kwenye mitandao akagundua kuwa picha ya tukio zima lilikuwa likirushwa laivu kila sehemu, akang'amua kuwa kumbe zile kamera zilikuwa bado zinafanya kazi.
Akapata wazo, akanyanyuka na kuifuata kamera moja wapo, huku wakati huo Seba akiwa makini kufuata maagizo ya Meja Generali Charles, kwasababu hakuwa na chochote cha kupoteza kama mwenzake, hivyo naye alitulia na bunduki yake mkononi akiwalinda akina Tinonko, Mheshimiwa rais Mrisho na Dr Aquinas huku akihakikisha hakuna mtu atakayeingia ndani wala kutoka.
"Mimi ni Meja Generali Charles, najua kote duniani mtakuwa mnanifahamu kwa sasa, ndiyo nimemteka rais na watu wengine kadhaa, watu wengi wameanza kunihukumu na kuniona pengine mimi ni gaidi mkubwa, lakini ningewaomba kwanza mjiulize kwa nini nimeamua kufanya hivi?" alianza kuongea Meja Generali Charles dunia nzima ikamsikia.
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.


ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.