NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA TISINI NA MBILI(92)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


“Mkuu kuna kitu kinaendelea hapa, tazama rais anavyomuelezea marehemu Generali haoneshi hisia yoyote ya huzuni wakati marehemu alikuwa rafiki yake mno.” Alisema Meja Generali Charles.
“sijakuelewa una maanisha nini?” alihoji Luteni Generali.
“ninachokwambia hapa tunaweza tukawa tumechezewa kanyaboya.. hao wageni waliosema wanakuja mbona hata hawapo. Tazama wakina Tinonko wanaonekana wamestarehe tu,” wakati Meja Generali Charles akimnong’oneza hayo, Luteni Generali Hashimu akageuka na kuwatazama akina Tinonko ambao japokuwa walikuwa msibani walionekana kuongea na kucheka, lakini pia hata rais alionekana kama vile anatoa hotuba ya kawaida tu.
Akawatazama waandishi wa habari na wapiga picha waliofika kwenye tukio hilo na kugundua wote walikuwa ni wa vyombo vya habari vya serikali na mbaya zaidi walikuwa wachache mno.
Akaangalia upande wa raia wa kawaida ambao mara nyingi hujaa kwa wingi kwenye misiba ya viongozi, lakini walionekana watu wachache mno, lakini hiyo bado haikumshawishi Luteni Generali kuhisi kuwa pengine msiba huo ulikuwa kanyaboya.
“Meja Generali, labda umewaza tu tofauti lakini umemtazama mke wa marehemu na familia yake ilivyokuwa na huzuni?” aliuliza Luteni Generali Hashimu.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA JUMATANO
Post a Comment
Powered by Blogger.