MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » MWENYEKITI WA SEREKALI YA MTAA WA GONGO LA MBOTO, BAKARI SHINGO AWEKWA CHINI YA ULINZI KWA TUHUMA MBALIMBALI IKIWEMO YA KUGHUSHI NYARAKA ZA SERIKALI.


Pamoja Blog 11/24/2016 11:47:00 AM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Mwenyekiti Wa Serekali Ya Mtaa Wa Gongo la mboto, Bakari Shingo akiwa chini ya ulinzi baada ya kuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akamatwe kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ya kughushi nyaraka za serikali. Malalamiko kuhusiana na kutosoma taarifa ya mapato na matumizi na kukusanya mapato kutoka kwa wananchi kinyume na taratibu za makusanyo ya fedha za umma.

RC Makonda anaendelea na ziara yake ya siku 10 katika jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza kero za wanachi ambapo amefanya ziara katika Wilaya ya  Ilala. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments