MAJALIWA ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU XAVERY MIZENGO PINDA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kushiriki katika kuaga mwili wa Baba mzazi wa Waziri Mkuu, Mstaafu Marehemu, Xavery Mizengo Pinda kwenye kijiji cha Zuzu, Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete wakiwa nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kwenye kijiji cha Zuzu, Manispaa ya Dodoma ambako walishiriki katika kuaga mwili wa baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu, marehemu Xavery Mizengo Pinda Novemba 30, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula.
  Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akizungumza wakati aliposhiriki katika kuaga mwili wa Marehemu Xavery Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda, kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
  Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa  akizungumza wakati aliposhiriki katika kuaga mwili wa Marehemu Xavery Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda, kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016. 

 Baadhi ya waombolezaji walioshiriki katika kuaga mwili wa marehemu Xavery Mizengo Pinda ambaye ni Baba mzazi wa Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda  kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
 Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda akipewa pole na Askofu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Alex Malasusa wakati awa kuaga mwili wa Baba yake mzazi wa Waziri Mkuu mstaafu,  marehemu, Xavery Mizengo Pinda, kijijini Zuzu kwenye Manispa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
 Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akimpa pole Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakati aliposhiriki katika kuaga mwili wa baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee, Xavery Mizengo Pinda kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimpa pole Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda na  mkewe Tunu wakati aliposhiriki katika kuaga mwili wa baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu, marehemu  Xavery Mizengo Pinda kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016. 
  Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akizungumza wakati wa kuaga mwili wa marehemu baba yake, Xavery Mizengo Pinda kijijini kwake Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Xavery Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016. 
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama  akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Xavery Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,  Angela Kairuki   akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Xavery Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
 Mkuu wa Wilaya ya Dodoma,Christina Mndeme na viongozi wengine wakitoa  heshima za mwisho kwa marehemu Xavery Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
Waziri Mkuu, KassimMajaliwa akizungumza na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda baada ya kuaga mwili wa marehemu Xavery Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda baada ya kuaga mwili wa marehemu Xavery Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016.Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na wapili kulia ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene.
Post a Comment
Powered by Blogger.