KAMPUNI YA ONYANGO PRODUCTION SASA INATOA HUDUMA ZA HARUSI

 Kampuni ya Onyango production sasa wanatoa huduma za harusi na hii  ni kutokana na umahili wao katika upigaji picha za aina mbalimbali walianzia kwenye filamu na sasa wapo  kwenye maharusi na shughuri mbalimbali kama vile picha za kwenye kitchen party, siku ya kuzaliwa na hata sherehee za kuzaliwa. 
Kampuni hii inavifaa vya kuweka  full live screen na projector na huduma zao ni za uhakika wanapatikana kwa number hizi 0716026089. Tunapatikana Jijini Dar es Salaam.
Post a Comment
Powered by Blogger.