BREAKING NEWS: FIDEL CASTRO AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 90

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu. 


Mwanasiasa na Mwanamapinduzi Fidel Alejandro Castro Ruz, maarufu kama Fidel Castro amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 90. Mwanasiasa na Mwanamapinduzi Fidel Alejandro Castro Ruz Aliiongoza Cuba kama Waziri Mkuu kuanzia mwaka 1959 mpaka 1976 na Kama Rais kuanzia 1976 mpaka 2008 alipomuachia mdogo wake Raul Castro.
Fidel Castro  akiwa kwenye picha ya pamoja na Hayati baba wa Taifa, Mwalimu Julias Nyerere

Post a Comment
Powered by Blogger.