YALIOJIRI WAKATI MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU AKIELEKEA MKOANI DODOMA KWA ZIARA YA KIKAZI

  • Awataka wananchi kuwafichua wala rushwa katika Manispaa na Serikali
  • Wakulima na Wafugaji waishi kwa kupendana na kushirikiana
  • Asema Tanzania haipo tayari kupokea misaada ya wafadhili wenye masharti magumu
  • Awasihi Wakina Mama wa Gairo kuwa mstari wa mbele kuhakikisha watoto wa kike wanasoma.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa Mlandizi wakati akiwa safarini kuelekea mkoani Dodoma ambako atakuwa na ziara ya kikazi ya siku 4.
 Wakazi wa Mlandizi wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye alisimama na kuwasalimia wananchi hao akiwa njiani kuelekea mkoani Dodoma ambapo atakuwa na ziara ya siku 4 ya kikazi.
 Wakazi wa Chalinze wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyekuwa safarini kuelekea mkoani Dodoma ambapo atakuwa na ziara ya kikazi.
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza changamoto zinazowakabili watu wa Chalinze mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na wakazi wa Gairo mara baada ya kuwahutubia wakazi hao na kuelekea Dodoma kwa ziara ya kikazi ya siku 4.

Post a Comment
Powered by Blogger.