MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » WAZIRI NAPE NNAUYE ASHIRIKI SIKU YA KITAIFA YA HISPANIA JIJINI DAR ES SALAAM


Pamoja Blog 10/13/2016 12:19:00 PM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape  Nnauye akipiga kitaa wakati wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi na Balozi wa Hispania hapa nchini.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape  Nnauye (kulia) akigonga glasi na Balozi wa Hispania nchini Ndg. Felix Costale Artieda(kushoto) ikiwa ishara ya kutakiana kheri  wakati wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi nyumbani kwa Balozi huyo Jijjini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape  Nnauye akijadiliana jambo na Balozi wa Hispania nchini Ndg.Felix Costale Artieda(katikati) wakati wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi na Balozi wa Hispania hapa nchini.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape  Nnauye akibadilishana mawazo na baadhi ya waalikwa wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi na Balozi wa Hispania hapa nchini Jijini Dar es Salaam.Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WHUSM.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments