PICHA YA MTOTO JAKE WA GHANA YAGEUKA KUWA MEME MAARUFU DUNIANI, AANZA KUCHANGIWA FEDHA ZA KUMSOMESHA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Picha ya mtoto Jake imegeuka kuwa maarufu mno mtandaoni na kutengenezewa meme kibao

Vipi pale ambapo picha yako uliyopigwa ukifurahia kuandika kitu kwenye karatasi inapogeuka kuwa gumzo duniani na meme maarufu zaidi?
Imetokea kwa mtoto Jake Amo wa Ghana ambaye picha yake imesambaa mno mtandaoni wiki hii. Picha hiyo inamuonesha Jake mwenye miaka minne akiwa anaandika kitu kwenye karatasi. Uso wake, na jinsi anavyoonekana kuwa na mahaba makubwa na anachokifanya, kimeipelekea picha hiyo kuzalisha mitazamo mingi ya kufurahisha na watu kutengeneza meme mbalimbali.

Picha hiyo ilipigwa na Carlos Cortes, mshindi wa tuzo, na kusambazwa na msanii wa michoro, Solomon Adufah ambaye amekuwa akiwasaidia watoto wanaoshi katika mazingira ya dhiki.

Awamu hii alimpa Jake na watoto wengine, penseli za kawaida na za rangi, midoli na zawadi zingine. Anasema watoto hao walizipokea zawadi hizo kwa furaha kubwa.Jake akionesha penseli alizopewa na Adufah

Kutokana na picha hiyo kuwa maarufu, Adufah ameanzisha kampeni ya kuchangisha fedha za kusaidia elimu ya mtoto huyo. Ameandika kwenye Instagram:


The Internet has a way of visually misrepresenting positive images and people often troll shedding negative light on priceless unique moments. In the past several weeks I’ve been receiving emails, texts and tags to speak upon this image which has turned into an Internet meme for people to make jokes off. I wish the positive aspect of this image will go viral instead of how it’s being portrayed as. I understand it’s something I can’t control. I can only continue to positively impact the lives of people with my talent and purpose. Everyone Say Hi to my buddy Jake.

This was moments in Ghana during my Art workshop with the kids. Each kid received brand new set of crayons, pencil colors, pencils, toys and other wonderful goodies. The expressions on their faces were heartfelt. People often ask me why and how I’m able to continue helping children through my #HomelandGhana mission. The truth is, it’s never about me. There are 3 things that comes first before my talent. My faith in God, Purpose in Life and the People who inspire my work.

To me, my work has no value without these three. I’ve experienced first hand the impact just the little act of kindness can make in the lives of the less privileged. The amount of joy and happiness they have in their heart despite their living conditions speaks volume about their inner beauty. Jake was one of the children I taught in Ghana. He was always gentle and quiet.. Ever present in class and was eager to learn everyday.

That’s what I loved about all the children. Their enthusiasm and high spirit was refreshing and encouraged me to continue helping them.
Post a Comment
Powered by Blogger.