NYOTA MKONGWE WA BRAZIL CARLOS ALBERTO AFARIKI DUNIA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Mchezaji nyota mkongwe wa Brazil, Carlos Alberto, ambaye alikuwa kapteni katika kombe la dunia mwaka 1970 na kuibuka mabingwa, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72.Alberto alifunga moja ya goli bora katika historia ya kombe la dunia mwaka 1970 dhidi ya Italia kwa shuti kali la chini.Beki huyo wa kulia Alberto alikuwa kapteni wa Brazil mara 53, na pia alishinda ubingwa wa Ligi ya Brazil akiwa na timu ya Fluminense na Santos, ambapo alicheza michezo 400.
                  Carlos Alberto akiwa ameshika kombe la dunia hii ilikuwa mwaka 2014
Post a Comment
Powered by Blogger.