NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA THEMANINI NA MBILI (82)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Wakati huo wanajeshi kadhaa waliojifanya raia, walianza kumfuatilia kwa nyumanyumba kijana Eddie aliyepanda ndani ya gari la kifahari na kurudi zake nyumbani, akijua amekamilisha matakwa ya marehemu kaka yake.
Huko ndani Tinonko alisimama tena mbele ya mahakama na kusubiri ajibu maswali yote atakayoulizwa, lakini kwa mtazamo wa sura za Meja Generali Charles na Luteni General Hashimu, wakajikuta wakithibitisha kuwa lazima kulikuwa na kitu kilichotokea huko walikoitwa.
“Tinonko, tuelezee sasa nini kilichotokea nyumbani kwako,” aliuliza General Mwakabuku.
Tinonko akaelezea kila kitu kilichotokea kuanzia wale wanausalama, polisi na makomando wa kizungu walivyoingia nyumbani kwake na cha zaidi aliwasimulia jinsi hadi walivyopigana risasi wenyewe kwa wenyewe na kuuana kwa tamaa ya fedha zilizokuwa pale sebuleni.
“Upuuzi mtupu! tutathibitishaje kama wewe siyo uliyewaua kwa mkono wako?” aliuliza kwa hasira Meja Generali Charles.
“Meja General, nina ushahidi wa video kupitia kamera nilizozitega nyumbani kwangu,” alisema Tinonko na hilo likamfumba mdomo Meja Generali Charles.


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA JUMAPILI
Post a Comment
Powered by Blogger.