NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA SITINI NA TANO(65)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Peter aliyekuwa makini kutazama kila upande alimuona Farudume akamvutia Jackline kwa nguvu upande wake huku akimuelekezea risasi, hilo likiwa ni onyo kwa Farudume kuwa pindi akimsogelea hatua moja tu au hata kufanya chochote basi hatosita kumfumua ubongo Jackline.
Ikawa ngumu kiasi kwamba hata kama Farudume na yule mzungu wangeamua kumshuti risasi Peter basi zisingempata yeye kabla ya kumpata Jackline au mtoto.
Hivyo akajikuta yupo sehemu salama na kweli kama vile alivyotarajia, Farudume hakujaribu kuthubutu kufyatua risasi yoyote, si yeye wala yule mzungu.
“see! I told you that guy is real a piece of shit,” aliongea mzungu kwa kiingereza akimlaumu Farudume kwa kutomuua Peter tangu mapema.
“weka bastola zenu chini,” alikoroma Peter.
Farudume na yule mzungu wake wakaweka risasi zao chini akisonya na kutukana kila aina ya tusi.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA ALHAMISI
Post a Comment
Powered by Blogger.