NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA THEMANINI (80)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mazishi yakapangwa na hatimaye Eddie aliyepata uzima kwa njia ya ajabu ndiye akaongoza kumzika kaka yake katika kaburi lililochimbwa hapohapo nyumbani kwake huku kikiwa na watu wanne tu ukiachilia mbali kampuni ya mazishi ambayo ilikodiwa kwa shughuli zote zilizokuwa zikifanyika hapo.
Kwa mara ya kwanza ndiyo Eddie akakutana uso kwa uso na Uku-Uku,Denis na Linda walioonekana kuguswa na msiba huo kama wa ndugu yao.
Baada ya mazishi hayo ndiyo Eddie akapata kuhadithiwa na Uku-Uku kila kitu kilichotokea katika familia yao na kwa nini kaka yake alikufa. Simulizi hiyo ikamuacha akitiririkwa na machozi na kuona jinsi gani upendo wa kaka yake ulivyokuwa mkubwa.
Pamoja na kukubaliana na yote aliyoyafanya kaka yake lakini alikuwa hajapenda aliyomfanyia Tinonko lakini hata hivyo akamshukuru Mungu kwa kumuwezesha Uku-Uku kumponesha.
“lakini Anko na wewe unatakiwa kuwaomba msamaha ndugu zako ili msiwe na kisasi tena, kisasi sio kizuri kabisa,” alisema Eddie akimwambia Uku-Uku aliyekuwa bize akimbinyia macho Linda.
Linda alilijua hilo, akawaza ikiwa Uku-Uku ana nguvu zote hizo na anafahamu siri ya ilipo hazina, kwa nini asiondoke naye kwa kutumia udhaifu alioonesha kwake yaani wa kumpenda.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.


ITAENDELEA IJUMAA
Post a Comment
Powered by Blogger.