NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA SABINI NA TISA(79)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Huko nyumbani kwa Tinonko cha kwanza wale maharamia waliomvamia walishangaa kutopokea mawasiliano kutoka ofisini kwao, wakawa na wasiwasi kuwa huenda Mr Duncan mwenyewe anakuja eneo la tukio.
Kitu kilichokuwa kikiwaogopesh pia hata wale watu wa usalama wa Taifa ambao walikuwa wakipiga dili, ni kwamba muda ulizidi kuyoyoma na sasa ilikuwa saa 10 alfajiri na Tinonko hawakuwa wamempata. 
Ilikuwa suala la kufumba na kufumbua macho, wakiwa hapo nje walijishtukia wamewekwa chini ya ulinzi, na kundi la wanajeshi wakiwa na Afande Kinyogori. Japo kuwa walijitambulisha kuwa ni watu wa usalama wa taifa na walikuwa hapo kwa ajili ya kumnasa gaidi, lakini walishangaa kuona bado wanatiwa nguvuni.
Wale wanajeshi waliweza kuingia hadi ndani ya nyumba ya Kapteni Tinonko na kuwadhibiti wale makomando wa kizungu sambamba na kuwaachia huru maaskari wa Afande Kinyogori.
Tofauti na maaskari na vyombo vingine vya usalama nchini, wanajeshi wakiwa ndani ya mnyororo mzito wa sheria, waliziona zile hela lakini hawakuwa na habari nazo, hiyo ni nidhamu ya jeshi ambao si polisi wala mgambo wanayoiweza. UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.


ITAENDELEA ALHAMISI
Post a Comment
Powered by Blogger.