NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA SITINI NA NANE(68)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


“Tukumbuke tu kuwa Tinonko alipotea katika mazingira tata akiwa nchini DR Congo, hivyo hili suala la kuanza kukumbushiwa kuhusu uwepo wake, naona halina msingi. Faili limeshafungwa basi libakie hivyo tu,” alisema mtu mmoja wa kitengo cha Usalama wa Taifa akichangia mchango wake katika kikao cha wanausalama kutoka vitengo tofauti vya usalama nchini; yeye akiwa ametokea Jeshini.
“Hapana mimi napinga suala alilozungumza Kapteni Rodrick ni lazima tulifuatilie vizuri, kwa kuwa hata kifo chake kilikuwa cha utata. Na kitu kinachonishangaza mimi ni kwanini familia yake imepotea ghafla baada ya yeye kufa? Na hawa makomando wa kizungu wanaposema kuwa Tinonko yupo nchini siyo wajinga lazima tuchunguze kwa umakini suala hili,” alisema Linda mmoja wa majasusi hatari ambaye anafanya kazi zake kwa siri kupitia kazi yake ya uanamitindo.
“Kweli kabisa anachosema Linda, tuhakikishe tunafufua kwanza faili la Tinonko na kupitia uchunguzi wetu kwa kuwahoji watu wote waliokuwa karibu yake , lakini msingi mkubwa ni kujua hawa wazungu wanafanya kazi chini ya nani hasa?” 

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA JUMAPILI
Post a Comment
Powered by Blogger.