NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA SABINI NA MOJA(71)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Katika jengo la utafiti wa mambo ya dhahania, Mr Duncan akiwa na watu wa usalama wa Taifa ambao kwa amri ya mkurugenzi mkuu wa chombo hicho nyeti nchini walikuwa chini yake, wote waliketi na kumtazama Dr. Aquinas mtu pekee ambaye alidaiwa kujua alipo mama yake Tinonko na kudhaniwa pia kujua hata mahali alipo Tinonko.
Wanausalama hao wakawa na kazi ya kumpekua Dr. Aquinas na wakaanza kwa kuchukua baadhi ya vitu vyake muhimu kama vile simu na waleti yake.
Wakaanza kutafuta namba ambazo zilionekana kupigwa mara nyingi kwenye simu, wakati huo wakimuhoji Dr. Aquinas kwa maswali ya hapa na pale. 
Wakaanza kuzifuatilia namba zile kwenye mitandao moja baada ya nyingine, hasa wakilenga kuangalia masafa na majina ya usajili wa simu husika. Wakifananisha na namba ya Tinonko ambayo Farudume aliitumia akiwa Arusha kuwasiliana naye.
Namba zilizokuwa zikiwatatanisha ilikuwa moja ambayo kwa mwezi mmoja nyuma ilisoma 


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA JUMATANO
Post a Comment
Powered by Blogger.