NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA SITINI NA TISA(69)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Uamuzi huo ulimfanya Linda na Denis wahisi kuna jambo ambalo lilikuwa likiendelea nyuma ya pazia, wakiwa wanaondoka kutoka ndani ya taasisi hiyo nyeti serikalini, wakaitana na kuanza kuzungumzia sakata hilo.
“Nahisi kuna mkono wa hawa wazungu haiwezekani tuambiwe tuache kufanya uchunguzi hali ikiwa imeonekana wazi kuwa kuna tatizo sehemu,” alisema Linda, akiendesha gari yake huku akiweka CD ya wimbo mpya wa Mapenzi gani wa msanii Eddy Nyota ambao ulikuwa ndo kwanza ametoka kwenye radio stesheni mbalimbali za jiji la Dar.
“kuna tatizo, mimi najua tumekatazwa tusifuatilie suala hili lakini nitafuatilia na kujua kila kitu. Maana nina uhakika kuna hela kubwa inazunguka hapa. Tena si hela ya mchezo hadi wazungu wanaonekana kuzitolea macho, tena nahisi anazo huyo Tinonko,” alisema Denis wakati huo akabadilisha zile suti zake alizokuwa amezivaa na kuvaa maovaroli yake na helmet kama fundi umeme kweli.
“naomba tuunganishe nguvu tuchunguze hilo jambo kwa pamoja,” alisema Linda akionekana kupendelea naye kuingia kwenye mpango huo akiwa na Denis.
“kwani wewe saa hizi una kazi unaenda kufanya?” aliuliza Denis.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.