NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA THEMANINI NA TATU(83)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


“Vipi ulifanikiwa kuchukua ile barua kwenye mfuko wa General?” Luteni Generali Hashimu alimuuliza Meja Generali Charles ambaye hakujibu badala yake alikuwa akijisachi mfukoni na baada ya muda kidogo akatoa karatasi.
Wakaanza kusoma majina yaliyoandikwa hapo ndani wakajiona wao wakiwa wa mwanzo kabisa. Ukiachilia hayo kulikuwa na orodha ya wakubwa wengine wengi mno lakini wakavutiwa na watu wawili ambao ni Sebastian Kweka na Ramadhani Dau. 
Watu hawa walikuwa kitengo cha utesaji Ilikuwaje hadi wakaingia kwenye listi hiyo tena wakiwa siyo wanajeshi wenye vyeo vikubwa kama wote walioandikwa hapo.
Madhalimu hao wawili walipojadiliana wakahisi kuwa lazima watu hao walikuwa karibu sana na Farudume na wanajua mambo mengi kama vile Mbirikimo na mali za Farudume. “Kwanini tuandikie mate na wakati wino upo, waite si wapo hapa ndani?” aliongea Luteni Generali Hashimu akimwambia Meja Generali Charles ambaye alifanya hima kumuita mtwana wake mmoja awaite akina Seba na Rama.
Ndani ya dakika chache wote walifika na kupiga saluti kwa utiifu.
“seba ndiyo nani na Rama ndiyo nani?” aliuliza Luteni Generali Hashimu. Seba akaitikia kwa ukakamavu na Rama pia.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.