NAJUTA KUMSALITI MUME WANGU SEHEMU YA SABINI NA SITA(76)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


“Tukusaidie kivipi Farudume!” aliuliza Linda “Nataka wote tuungane kwanza ili tumdhibiti Mr Duncan na kumrudisha mdogo wangu, kisha baada ya hapo, nitawapa mali zote mnazozitaka.”
“utatupa shilingi ngapi?” aliongea kwa kiwewe Denis.
“milioni mia mbili nadhani zinawatosha.” Aliongea Faru akijua fika kwa utajiri wa mali alizonazo hiyo ni kama theluthi tu.
“lini tunaanza kazi,”
“nitawaambia hivi karibuni lakini watu wawili wataongezeka katikati yetu,” alisema Faru akiwataja wale watesaji wake wawili ambao aliwatuma kwenye kazi nyingi mno ikiwemo ile ya kumtesa Tinonko na kumuua Peter na ndiyo hao aliokuwa nao siku zote wakimfanyia mambo yake ya siri wakati akiwa amejificha kwenye uso wa dunia.
Usiku uliendelea kuyoyoma, Denis na Linda walionekana kupagawa na kiasi cha fedha walichotajiwa, ilikuwa ni fedha nyingi ambayo tangu waanze kupiga dili hawakuwahi kuisikia. 
Hivyo hawakujali ugumu wa kazi yao lakini wakajidhatiti kupigana ili mradi kupata fedha hizo.
Wakati huohuo simu ya Farudume ikaita, akaipokea. “tukutane Mbezi Jogoo,” kisha akakata simu.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA.

ITAENDELEA JUMATATU
Post a Comment
Powered by Blogger.